Sunday, September 23, 2012

HATIMAYE EVRA NA SUAREZ WAPATANA(PICHA).




Picha zinazoenesha jinsi wachezaji hawa walivyoweza kupeana mkono japo hatujui kama ilitoka moyoni au kufuata utaratibu.



Hivi ndivyo ilivyokuwa mwezi wa 2 mwaka huu walipokuwa wana uhasama baina yao iliyotokana na shutuma za ubaguzi wa rangi.

No comments:

Post a Comment