Kitanda pamoja na vikolombwezo mbalimbali |
Baadhi ya vitu hivyo ni kama jikon la mchina,madaftari,chakula,ndoo za maji,vyombo mbalimbali,vifaa vya kazi kama vile majembe,shoka,panga na vingine vingi.
Swali ni kwamba je,vitu hivyo vyote vinafaa kuwepo kwenye vyumba au ni kutokana na hali ngumu za maisha?na je nikisema sie Watanzania wengi hatulali bali ''tunajificha'' ntakua nimekosea??
No comments:
Post a Comment