.Chuo kikuu cha Victoria University of Wellington nchini Uingereza, kimefanya utafiti na kubainisha kwamba kabla ya mwanamume kuangalia tabia, elimu au nasaba ya mwanamke wao hupiga jicho kwanza kabisa kifuani kuangalia kukoje?Watafiti hao wamegundua kwamba wanaume wengi hupiga jicho ...pa mara moja tu! Hapana! Wao huangalia kwa muda mrefu kabla ya kufikia uamuzi wa nimwambie au nisimwambie?
.
Ni utafiti wa chuo kikuu cha Victoria kilichoko Wellington, mjini London, Uingereza.
Matiti ya wanawake yanatofautiana kwa ukubwa!
Jee unafahamu kuwa matiti ya wanawake sio saizi moja? Kwa kawaida moja ni kubwa lengine ni dogo. Wanasayansi wanasema titi la kushoto kawaidi huwa ndilo kubwa kushinda la kulia. Lakini tofauti yao ni ndogo mno kiasi kwamba sio rahisi mtu kugundua utofauti hiyo.
..........................................................................................................................................................................
Sijiu kama unafahamu kuwa hata chuchu zenyewe za matiti zina tofautiana kwa ukubwa. Usihadaike ukaziona zote zimechomoka kifuani ukafikiri zinaelekea upande mmoja. La hasha! Chuchu moja inaelekea mbele nyengine upande kidogo.
...........................................................................................................................................................................
UTAFITI HUO UMEFANYWA KWA WAZUNGU PEKEE NA SIO AFRIKA JAPO HATUWEZI KATAA KWANI HUO NDO UTAFITI ULIOFANYWA KWA SASA.
......................................................................................................................................................................source:bbc swahili
No comments:
Post a Comment