Thursday, September 20, 2012

WENGER AFURAHIA WILSHERE KURUDI MAZOEZINI

Kocha mkuu wa timu ya Arsenal ARSENE WENGER amesema kua anafuraha kumuona mchezaji wake kinda muingereza Jack Wilshere kufanya mazoezi na wachezaji wenzie kwa mara ya kwanza baada ya kukaa nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi 14 kwa kusumbuliwa na majeraha.
Jack Wilshere(20) ameonekana akiwa na furaha wakati wote wa mazoezi pamoja na wachezaji wenzie wa timu hiyo ya mjini London kama anavyoonekana katika hizi picha.





Naye nahodha msaidizi wa timu hiyo MIKEL ARTETA amesema Wilshere atakua mchango mkubwa sana kwa timu hiyo kwa sasa na amekuja mda mzuri.Pia mchezaji Emmanuel Frimpong amerejea katika mazoezi baada ya kua nje kwa majeruhi aliongeza kocha wa timu hiyo ya Arsena;.



No comments:

Post a Comment