Baadki ya mashabiki walisikika wakisema kuwa mwanamama huyo anavaa nguo na sio nguo zinamvaa!
Baadhi ya picha za mwanamama huyo ni hizi zifuatazo.
![]() |
| Mwanamama J LO kitumbuiza huku akiwa na kivazi kilochompendezwa ipasavyo. |
Mwanamama huyo ambaye aliachana na mme wake Marc Anthony mwaka jana anasifika kwa kushambulia jukwaa japo umri wake unaonekana umeenda.
Huyo ndio J LO.





No comments:
Post a Comment