Thursday, November 15, 2012

WENGER:IBRAHIMOVIC SIO MCHEZAJI WA KAWAIDA

Kocha wa timu ya Arsenal,Arsene Wenger alishuhudia goli la maajabu alilofunga mshambuliaji raia wa Sweden kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Uingereza na kumwita mchezaji huyo ni kung-fu master.
Kocha wa Arsenal,Arsene Wenger

Ibrahimovic aliifungia timu yake ya taifa magoli yote manne(4) kwenye mechi hiyo iliyochezwa jumatano usiku ambapo beki wa timu ya Arsenal Carl Jenkinson aliichezea timu yake ya taifa kwa mara  ya kwanza.
Ibrahimovic alifunga goli hilo  katika dakika ya 90 ya mchezo ambalo lilithibitisha uwezo wake wa ufundi na nguvu alisema Wenger.
Ibrahimovic akionekana katika picha jinsi alivyofunga goli lenyewe
Wenger alisema si kitendo cha kawaida kwa mchezaji kufungu umbali wa mita 30 huku akiwa pembeni mwa uwanja,zaidi kwa tick-tak japo alikiri kuweza kutokea ila sio mara kwa mara.
Aliendelea kusema kua ila inapotokea mchezai kufunga goli kama lile basi hiyo sio kawaida kwani lazima mchezaji awe ana uwezo zaidi ya kawaida.
Wenger alizidi kusifu kua "They say he’s a master in kung fu. You could see that on Wednesday night. You need some special flexibility, subtleness and physical strength to do that, apart from the fact that you have to realise what you have to do.
 Mfaransa huyo alisema kua Ibrahimovic alikua kwenye mpango wa kusajiliwa na timu hiyo ya jijini London alipokua ana umri wa miaka 16 ambapo alifika katika mazoezi ya Arsenal ila hakuweza kufanya mazoezi pamoja na wachezaji wa Arsenal kutokana na umri aliokua nao wakati ule japo alisema aliahidi kumfuatilia ili akipige katika timu yake ijapokua alijiunga na timu ya Ajax Amsterdam.

                 MAELEZO MAFUPI YA MCHEZAJI ZLATAN IBRAHIMOVIC
Zlatan Ibrahimović
Zlatan Ibrahimović Euro 2012 vs England.JPG
Ibrahimović while playing for Sweden at Euro 2012
Personal information
Full name Zlatan Ibrahimović
Date of birth 3 October 1981 (age 31)
Place of birth Malmö, Sweden
Height 1.95 m (6 ft 5 in)
Playing position Striker
Club information
Current club Paris Saint-Germain
Number 18
Youth career

Malmö BI

FBK Balkan

Malmö FF
Senior career*
Years Team Apps (Gls)
1999–2001 Malmö FF 40 (16)
2001–2004 Ajax 74 (35)
2004–2006 Juventus 70 (23)
2006–2009 Internazionale 88 (57)
2009–2011 Barcelona 29 (16)
2010–2011 Milan (loan) 29 (14)
2011–2012 Milan 32 (28)
2012– Paris Saint-Germain 10 (10)
National team
2001 Sweden U21 7 (6)
2001– Sweden 85 (39)
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only and correct as of 09:43, 4 November 2012 (UTC).
† Appearances (Goals).
‡ National team caps and goals correct as of 21:23, 14 November 2012 (UTC)

No comments:

Post a Comment