Monday, September 24, 2012

PICHA ZA EX-GIRL FRIEND WA MARIO BALOTELLI ALIYESHIRIKI MAONYESHO YA MAVAZI AKIWA NA UJAUZITO WA MIEZI 6.

 Raffaella Fico(24) ambaye alikua mchumba wa mchezaji mashughuli wa manchester City Mario Blotelli mwisho mwa wiki hii alifanya kituko cha pekee pale alipoamua kushiriki maonyesho ya mavazi yaliyofanyika mjini MILAN,Italia.
Mwanadada huyo alivalia vazi aina ya bikini  akionyesha kwa uzuri tumbo lake lililobeba kichanga kinachokadiliwa kuwa cha miezi 6.
Hizi ndo baadhi ya picha nzima ya hilo tukio.







     Mwanamama huyo mtarajiwa aliendelea kuonyesha mavazi ambapo alibadilisha na kuvaa bikini rangi   nyeupe huku akiwa amejiachia bila hofu yoyote.




   PICHA HII NI ENZI HIZO AKIWA ANAMAHUSIANO NA MARIO BALOTELLI 2011                                    MWANZONI KABLA YA KUTENGANA.
Mario Balotelli na Raffaella walikua wapenzi japo wameachana kwa sasa ila mwanadada huyo anasema mimba hiyo ni ya mpenzi wake huyo wa zamani.
               Raffaella anajihusisha na kazi za mitindo hivyo alikua   anajikumbusha kazi yake hiyo.

                                                                    source:daily mail.com

No comments:

Post a Comment