Saturday, September 22, 2012

RIHANNA ATUMBUIZA NA JEZI RANGI YA DHAHABU YA MPIRA WA KIKAPU.

Mwanamuziki Mmarekani mwenye vituko vingi Rehanna(24) ijumaa 21/9 usiku alipanda jukwaani kwenye tamasha lililojulikana kama 2012 iHeartRadio Music  kutumbuiza katika jiji la Las Vegas, Nevada akiwa amevalia jezi ya mpira wa kikapu.
Jezi hiyo ilikua imeandikwa namba 23 kama aliyokuwa anavaa mchezaji mashughuli wa timu ya Chicago Bull Michael Jordan huku akiwa amevalia mabuti.
Rihanna alionekana kutumbuiza free japokuwa alikua na vazi la juu tu ambapo mashabiki wake walionekana kufurahia sana hasa alipokuwa anacheza kwa kuinama.
!hizi ndizo picha za tukio lenyewe.
Rihanna akishambulia jukwaa pamoja na mastedi shoo wake,


rihanna akionekana ndani ya buti kali


rihanna akiwa amekaa kwenye kiti huku akitumbuiza.















                                                                         picha zote na getty+wire images

No comments:

Post a Comment