Bibi Zeenat Bi(113) anayedai kushikilia rekodi ya mtu mfupi mwenye miaka mingi duniani. |
Urefu halisi wa bibi huyo ni futi 3.
Inasemekana bibi huyo kama kweli ana miaka 113 basi alizaliwa wakati wa utawala wa malkia Victoria aliyekua anajulikana kama 'malkia wa India' wakati huo.
Bibi Zeenat Bi akionesha cheti chake cha kuzaliwa kuthibitisha umri wake. |
Staa wa bollywood,Salman Khan ambaye bibi Bi anapenda kukutana nae kabal ya kifo chake. |
Bibi Zeenat Bi akiwa katika pozi |
Kwa kipindi cha miaka 20 sasa anaishi na mtu ambaye amejitolea kumuhudumia bibi huyo kutokana na kutokua na msaada kutoka kwa mtu yeyeto.
Bwana Abrar Muhammad Khan ndiye aliyejitolea kumtunza bibi Zeenat ambapo amesema anamchukulia bibi huyo kama mama'ake na hafanyi kazi yeyeto hapo nyumbani.
Abrar Muhammad Khan akiwa na bibi Zeenat ambaye anamtunza kwa miaka 20 hadi sasa. |
Bi Zeenat anajumla ya meno 3 kinywani mwake kitendo kinachomfanya akumbuke enzi za ubinti wake alipokua na meno yote 32.
Bibi Zeenat akiwa na watoto wa mtu anayemsaidia(Abrar Muhammad Khan) |
Bibi Zeenat akiwa katika picha ya pamoja na Profesa Amir kushoto na dokta Raza kulia. |
No comments:
Post a Comment