Friday, July 18, 2014

MAISHA NJE YA UWANJA:SAGNA AKIWA BEACH NA MKE WAKE

Baada ya kutumikia nchi yake ya Ufaransa kwenye kombe la Dunia, mchezaji Bacary Sagna ameonekana kwenye fukwe za Miami Marekani akiwa na mke wake wakipumzika.
Sagna akifurahia maisha pamoja na mke wake

Mke huyo wa sagna anayejulikana kwa jina la Ludivine alionekana mwenye furaha wakati wote alipokua na mme wake.
Mke wa mchezaji Bacary Sagna, Ludivine.
Hata hivyo mchezaji huyo alipokua anafurahia maisha na mke wake timu yake ya Manchester City ilikua inajiandaa kwa mchezo wa kujipima kabla ya kuanza kwa msimu ambapo ilikua ikicheza na Hearts.
    Bacary Sagna na mke wake Ludivine.
                                      
Kutokana na mkataba aliosaini na timu ya Man City, Sagna atakua analipwa mshahara mnono ukilinganisha na aliokua analipwa akiwa anachezea Arsenal ambapo kwa sasa analipwa paundi 150,000 kwa wiki.

     Picha nyingine ya Ludivine walipokua wanafurahia maisha katika fukwe ya Miami.

    Source: Dailymail.








No comments:

Post a Comment